{"product_id":"moran-kiswahili-chanana-grade-10-lb","title":"Moran kiswahili chanana Grade 10 Lb","description":"\u003cp\u003eKiswahili Chanana, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Kumi ni kitabu cha kiada cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003eKitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kina sehemu za Matarajio zinazomfahamisha mwanafunzi awali yale atajifunza katika mada ndogo,\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kina sehemu za Muhtasari zinazofafanua dhana mbalimbali ambazo mwanafunzi anajifunza.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kina sehemu za Kazi ya Ziada zinazompa mwanafunzi nafasi ya kuendelea kujiimarisha katika yale anayojifunza.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kina sehemu za Jitathmini zinazompa mwanafunzi nafasi Ya kujitathmini na kutafakari kuhusu yale aliyojifunza katika mada ndogo,\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kinatumia maswali dadisi kukuza umilisi wa uwazaji wa kina na utatuzi wa matatizo.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kinajumuisha shughuli za mwanafunzi akiwa peke yake, akiwa na mwenzake na akiwa na wenzake katika kikundi.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*kinajumuisha umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko na maadili yanayofaa kukuzwa kwa mujibu wa Mtaala wa Kiswahili wa Gredi ya Kumi,\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003e*shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika pamoja na Sarufi.\u003c\/p\u003e\n\u003cp\u003eHayo na mengine mengi yanadhamiriwa kumwandaa mwanafunzi wa Gredi ya Kumi ili aweze kutumia Kiswahili sanifu katika miktadha mbalimbali ya ulimwengu wa jira na pia kuendelea na masomo ya juu.\u003c\/p\u003e","brand":"MUGAMBI EMPORIUM","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":51461215584573,"sku":null,"price":800.0,"currency_code":"KES","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0853\/9694\/7261\/files\/morankiswgd10.jpg?v=1773039061","url":"https:\/\/mugambiemporium.co.ke\/sw\/products\/moran-kiswahili-chanana-grade-10-lb","provider":"MUGAMBI EMPORIUM","version":"1.0","type":"link"}